_MG_3185
All Posts, Featured, Mboni in Events,

WILAYA YETU – HANDENI YETU – TANZANIA YETU

Chocolate Princess Ltd & THE MBONI SHOW inayo furaha ya kukualika wewe mzawa wa Handeni, mkazi wa Handeni na yeyote mwenye mapenzi na Wilaya yetu ya Handeni katika Harambee ya kuchangia vifaa katika hospitali yetu ya Wilaya ya HANDENI.
Harembee hii Itafanyika tarehe 08/05/2016 Mahali tutawajulishwa baadaye.┬áTunaomba tujitokeze kwa wingi ili tuweze kufanikisha lengo letu. Kujiandikisha tunaomba jina lako kamili na no zako za simu…. Mwisho wa kujiandikisha ni trh 30/04/2016.. Kwa mawasiliano Piga no ya
Simu +255762 656 666 na Emil ni :- info@thembonishow.com
WILAYA YETU – HANDENI YETU – TANZANIA YETU…
ASANTENI…

Leave Comment