Mboni M
DREAM COME TRUE, Featured, MBONI NA FANS,

#WIKIILIYOPITAONTHEMBONISHOW – Chukua Dakika Zako 15 Kuvunja Mbavu Na Mc Pili Pili

Mboni M

Mboni Masimba (Host)

WIKIILIYOPITAONTHEMBONISHOW‬ – The Mboni Show, Wiki iliyopita mgeni wetu alikuwa Mc Pili Pili, ilikuwa ni kucheka tu, Utajua Jina la Mc Pili Pili alilitoa wapi, yeye ni kabila gani na aligunduaje yeye anachokipaji cha Mc, Yote Hayo Ni Ndani Ya – “The Mboni Show” – The Mboni Show Ni Kila Siku Za Ijumaa Saa 3:00 – 4:00 Usiku na Marudio Ni Kila Jumatano Saa 9:00 Alasiri – 10:00 Jioni Kupitia TBC1 ‪#‎USIKOSE‬

Leave Comment