333 c
DREAM COME TRUE, Featured,

VIDEO: TEASER YA ‘THE MBONI TALK SHOW’ WITH DAVID MZIRAY & OMARY SUMA

Kwa wote mnaopenda kuangalia kipindi cha ‘The Mboni Talk Show’ kinacho ruka kila siku ya Ijumaa Saa tatu kamili usiku TBC1, hapa tumekuwekea teaser ya Show ambayo ndani yake utakutana na David Mziray ambaye ni meneja mawasiliano wa Sumatra pamoja na Omary Suma kutoka wizara ya kazi, bila kumsahau host wako makini maarufu kwa jina la Mboni Masimba, usikubali kupitwa. Ukitaka kuwa mmoja kati ya washiriki kwenye kipindi cha The Mboni Talk Show unaweza ukatucheki kwenye Email: info@thembonishow.com
Contacts: 0762656666

Nyote mnakaribishwa

Leave Comment