the-mboni
All Posts, Featured, Shows, Video Clips,

Video: Kevin Wyre ashiriki kusuluhisha mgogoro mzito kupitia The Mboni Show!

Mambo vip Tanzania leo tumerejea kwenye kipande chetu cha mwisho, tulichoanza kukitazama last week online kwenye youtube yetu, Hii ni Show ambayo inamakusudi ya kukupa wewe mtazamaji fursa ya kutambua mbinu za kutatua matatizo pindi yanapo kuwa yamekuandama. ¬†Kupitia kipande hiki ¬†utamtazama Nyota wa muziki huko nchini Kenya aliyewahi kutamba na wimbo wake wa “Nakupenda Pia + Chuki nk.”Kevin Wyre maarufu kama “Wyre” ameelezea na kushiriki¬†suluhisho la waliokuwa na mgogoro pindi alipo kuwa mgeni wetu kwenye “The Mboni Show” Cheers Bonyeza “Play” kutazama hii Show Thanks.

Leave Comment