Masoud 2
DREAM COME TRUE, Featured,

USIKUBALI KUPITWA NA SHOW YA MASOUD KIPANYA IJUMAA HII

Kutana na mchora Cartoon mahiri  kwa jina la Masoud Kipanya, hapa Tz, ndani ya ‘The Mboni Talk Show’ Ijumaa ya wiki hii ndani ya TBC1 kwaanzia mida ya Saa 3: 00 usiku hadi Saa 4:00 usiku ukiwa sambamba na Mboni Masimba.   nini atazungumza Msoud Kipanya usikose kuangalia Show Ijuma hii TBC1, Marudio ni Jumatano saa tatu kamili usiku. kwa taarifa zaidi tufuatilie kwenye tovuti yetu ya www.thembonishow.com.

 

Leave Comment