33
DREAM COME TRUE, Featured,

USIKOSE: THE MBONI TALK SHOW WITH ‘MARIAM MBEWA’

Ijumaa ya leo The Mboni Talk Show inakuletea Show ya Mjasiliamali ambaye yeye aliamua kujihusisha katika Kilimo Bora cha kisasa ambacho hakitumii nafasi kubwa lakini kinafanikio makubwa maarufu kama ‘Green house’ Mjasiliamali huyo si Mwengine ni mwanadada ‘Mariam Mbewa’ ambaye kwa hakika amefanikiwa sana katika kupitia Green House, kiasi cha kumfanya afungue matawi mpaka kwenye baadh ya mikoa kama Dodoma, Njombe na Dar es salaam.

Unatamani kujua mbinu alizozitumia, Changamoto alizopitia na namna ya wewe kuwa member wa Green House basi usikose kuitazama Show yake leo Mida ya saa tatu kamili Usiku mpaka Saa nne, ndani ya TBC1, kwani huenda ikawa ni safari ya mafanikio yako.
FB_IMG_1438673030830

Comments (4)

  1. ADIA JUMAA
    Dec 4, 2015 at 7:32 pm

    nimekipenda sana kipindi cha leo cha huyu mjasiriamali wa kilimo cha kisasa na ufugaji wa nyuki, naomba sana namba yake ya cm ili niqeze kuwacliana naye , kuhusiana na shughuli zake. Kwa kweli kipindi cha leo kimenipa manufaa sana kwangu nadhan na kwa watazamaji wengine, hongera sana MBONI

  2. Aswile
    Dec 6, 2015 at 5:07 am

    mboni tutqpataje mawasiliano nae plz

Leave Comment