DU7C6605
All Posts, Featured, Shows,

Usikose The mboni Show with Sofia kesho TBC1

Sofia ni miongoni kati ya wanadada wenye ulemavu lakini kupitia Sofia unaweza kujifunza vitu vizuri kutoka kwake, The Mboni Show ya week hii ┬áIjumaa yaani kesho utakwenda kufahamu safari ya maisha ya Sofia, iliyo ambatana na Changa moto pamoja na ufanisi wake kwa ujumla. Siku zote Sofia anasema “katika maisha inabdi ujitambue wewe ni nani na unatakiwa kufanya nini”. Zaidi kuhusu Sofia tafadhali usikose kuitazama The Mboni Talk Show Kesho Ijumaa saa tatu kamili hadi nne kamili za usiku TBC1.

Kumbuka marudio ni kila jumatano saa tisa kamili mchana hadi saa kumi kalili jioni endelea kutufuatilia kwenye Social media zetu asante

DU7C6596

Sofia

Leave Comment