WhatsApp Image 2017-05-31 at 9.01.58 AM
All Posts, Featured,

Usikose The Mboni Show with Ben Kazora Ijumaa

Msimu huu mpya tunaanza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Dallas – Texas Bwana Ben Kazora, The Mbonishow Show inakuletea  Show za ughaibuni, show za nchini Marekani, Thembonishow ilipata mualiko maalum kutoka Jumuiya ya Watanzania wanaoishi Dallas Texas nchini Marekani kwa ajili ya kufanya coverage ya shughuli iliyo andaliwa na jumuiya hyo iitwayo TANZANIA DAY. Kuna vitu vingi vilifanyika kwenye hiyo siku ya Tanzania Day, ilikuwa ni event ya siku tatu. Basi sisi Thembonishow tutawaletea matukio yote yaliyojiri siku hizo zote tatu na pia mtapata nafasi ya  kuwasikia Watanzania waishio Marekani na shughuli zao kwa ujumla. 2/6/2017 TBC1 SAA 1:00 Jioni.

Leave Comment