ee
All Posts, Featured, LIFE and SOCIETY, NEWS,

USIKOSE KUTAZAMA THE MBONI SHOW IJUMAA 21/JULY/ 2017

Ijumaa hii katika @thembonishow tutakuwa na Promoter @dmkglobal @dmkglobal, Dmk ni Kijana wa Kitanzania lakini makazi yake ni Nchini Marekani, Ndio Promoter wa kwanza kabisa kumpeleka Mr Nice Marekani?? Utapata kuyasikia mengi kuhusu @dmkglobal na kazi zake, Yan huyu ndio ukisika @diamondplatnumz @yamoto_band @ommydimpoz @officialalikiba @shilolebadgirl @officiallinah @victoriakimani @davidoofficial @teknoofficial @yemialade @wizkidayo Basi jua kijana wetu wa Kitanzania @dmkglobal ndio muhusika kwa namna moja au nyingine ?? “Son hao wengine utawatafsrilia mwenyewe?????” #Thembonishow Inakuleta Karibu na Ndugu, Jamaa na Marafiki Waishio Nchini Tanzania ??

Leave Comment