NISHA 6
All Posts, NEWS, Shows,

USIKOSE KUITAZAMA THE MBONI TALK SHOW WITH “NISHA” LEO TBC1

Ndugu wadau wa The mboni Talk Show wapenzi wa vichekesho mnao mkubali Mwigizaji ambaye anakubalika Bongo kwenye Tasnia hiyo ya “Bongo Muvi”  Salma Jabu Nisha anaye fanya vizuri na kazi yake ya Kiboko Kabisa, Tutakuwa naye kwenye “The Mboni Show” leo ambayo itaruka mida ya saa nne kamili usiku, kufuatia bado leo tunaendelea kuazimisha siku 100 za Mh. Rais John Pombe Magufuli toka aingie madarakani.

Hivyo wadau wote tunawaomba msikose kuitazama TBC1 mishale ya saa nne kamili usiku coz The Mboni Talk Show itakuwa hewani get Ready. Kumbuka marudio ni kila Jumatano kuanzia mida ya Saa tisa kamili jioni mpaka saa kumi kamili The Mboni Show Tunakupenda sana na ndio maana hatuchoki kukujulisha lolote linalo husiana na show hii.

Leave Comment