flavian matata
DREAM COME TRUE, MBONI NA FANS, NEWS,

USIKOSE KUANGALIA THE MBONI TALK SHOW WITH FLAVIANA MATATA

Hii ni taarifa njema inayowahusu wadau na mashabiki wote wanaopenda kuangalia ‘The Mboni Talk Show’ kuwa Ijumaa ya wiki hii kuanzia mida ya Saa tatu kamili, usiku ndani ya TBC1, tutakuwa¬† Miss Universe Tanzania¬†2007 maarufu kwa jina la Flaviana Matata.

Unatamani kujua nini kazungumza kuhusiana na tasnia ya urembo, basi usikose kuangalia The Mboni Talk Show wiki hii, TBC1.

 

Leave Comment