Shekha Nasser
DREAM COME TRUE, Featured,

#TONIGHTONTHEMBONISHOW – Shekha Nasser Kutoka Shear illusion

Shekha Nasser

Shekha Nasser

Thank God’s is Friday, Tunaianza wikiendi tena, mara ya mwisho mimi na nyie watazamaji wangu tulikutana wiki iliyopita kwenye “The Mboni Show” ambapo tulikuwa na Mc Pili Pili, masihara yakawa mengi utani, tukacheka na nini!!

Leo sasa, we back in business, nitakuwa na Super Woman, mpiginaji napenda kumuita anatokea Shear Illusion, kaa tayari kujifunza mengi kutoka Shekha Nasser kupitia “The Mboni Show” leo Ijumaa tarehe 24 Julai 2015, kuanzia saa 3:00 – 4:00 usiku, na marudio ni kila Jumatano saa 9:00 alasiri – 10:00 Jioni, Kupitia TBC1, Ukweli na Uhakika #USIKOSE

 

Comments (2)

  1. Judith Matuli
    Jul 27, 2015 at 9:58 am

    ninekusikiliza katika kipindi natamani niipate na sijui nitaipatia wapi catalogue yasuper mother ambayo umesema inauzwa

  2. Judith Matuli
    Jul 27, 2015 at 10:05 am

    niko Dar Tanzania nimeona kwenye tv siku ya ijumaa kuhusu shekha nataka nijue nitampataje na catalogue yake?

Leave Comment