vlcsnap-2012-06-04-22h35m46s192
Gallery, RELATIONSHIPS,

This Week! MADA KUU MAHUSIANO usikose “The Mboni Show”

Mtaalam Dr. Pakil

Kutana na watu mbali mbali wakizungumzia suala la MAHUSIANO na jinsi ya kupata MUME au MKE. Usikose habari hii kwa undani zaidi kupitia “The Mboni Show” siku ya Alhamisi saa Tatu usiku hadi saa Nne kamili.

Comments (1)

  1. Anonymous
    Jun 8, 2012 at 12:09 pm

    Hongera sana dada Mboni kwa kipindi chako nilipenda sana mafundisho ya Doctor pamoja na wale wageni wa kwanza kwa upande wa wadada sio Ummy yule mwingine jina limenitoka nimempenda sana huyo dada. Doctor naye naona alikuwa anamengi yakutufundisha ila muda ulikuwa mdogo, ningependa uendelee kuwaalika hao wawili ni mawazo yangu walichangamsha sana kipindi.

Leave Comment