1
All Posts, Featured, Video Clips,

The return of The Mboni Show New season 2017

2

Baada ya pumziko la muda mrefu sasa The Mboni Show huu ni msimu wake mpya 2017 “Hello Hello wapendwa more miss jamani yaani nimewamiss mbaya Msimu mpya utaanza tarehe 1/Jume/ 2017 The Mboni Show itakuwa hewani show itaruka kila Alhamisi saa 1:00 usiku TBC1″  Mboni Masimba.

Leave Comment