BONY 3
Featured, Mboni in Events,

THE MBONI TALK SHOW LEO ITAKUWA NA WILFRIED BONY & GERVINHO

Kwamara nyingine tena taarifa mpya kutoka kwa mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Talk Show maarufu kwa jina la Mbonie Masimba inasisitiza juu ya wadau na wapenzi wa kipindi hicho leo ndani ya TBC1 kuanzia majiya ya saa tatu kamili usiku hadi saa nne kamili usiku.

‘The Mboni Show’ leo itakuwa¬†na wageni wawili ambao ni mastaa wanaoichezea timu ya taifa ya ‘Ivory Coast’ Wilfried Bony pamoja na Gaervinho, unakosaje? ¬†kazi kwako wewe mpenzi na mdau wa kipindi hiki cha ‘The Mboni Talk Show’ bila ya kuwasahau wale wapenzi wa football kwani kunavitu vingi watakwenda kuvifahamu kutoka kwa wachezaji hawo.

spot 1

Leave Comment