DSC_0404
All Posts, DREAM COME TRUE, Gallery, Mboni in Events, NEWS,

THE MBONI SHOW WIKI HII NI PALE MKOA NI DODOMA

 Wiki hii utaiona Familia nzima ya The Mboni Show wakiwa mkoani Dodoma , Walipotembelea Shule ya msingi Chalula iliyoko wilaya ya Chamwino ; Shule ambayo bado wanafunzi wanakaa chini. The Mboni Show ikiongozwa na Mboni Masimba wamehaidi kutoa madawati katika shule hiyo. Usikose kuangalia Show leo Saa tatu na nusu usiku pale EATV.

Tunahitaji sana mchango wako ili wanafunzi nao waweze kuseoma wakiwa wamekaa katika madawati.

Leave Comment