WhatsApp Image 2017-05-27 at 8.44.20 AM
All Posts, Featured,

THE MBONI SHOW TUNAWATAKIA RAMADHAN KAREEM??

Asalamu Aleikum warahmatullah wabarakatuh?? Nawatakia kila la kheri barka tawfeeq afya na siha njema katika mwezi mtukufu wa Ramadhan Mashabiki zangu wote wa @thembonishow na familia zenu.. Namuomba Allah atupe Rehma nyingi katika Kumi la mwanzo, atupe Maghfira katika Kumi la pili na Atuache huru na moto katika kumi la tatu ameeen ameen wewe na familia yako wote. Tusameheane na tuzidi kuombeana dua kila siku. RAMADHAN KAREEM??

Leave Comment