jerry-muro
All Posts, Featured, Shows, Video Clips,

The Mboni Show – “Ndoa na Kitchen Party Sehemu ya Kwanza!

Hello Karibu kwenye kipindi maarufu kama “The Mboni Show” kipindi ambacho kimedumu kwa muda wa miaka 5 tangu kianzishwe, Leo kwenye Youtube Chanell yetu unaweza kutazama marudio ya Show inayo zungumzia “Ndoa na Kitchen Party” ┬ásehemu ya kwanza. Habari njema katika Show hii utasikia na kumtamtazama Jerry Muro akizungumzia kiundani kuhusiana na Ndoa hivyo tumia fursa hii kubonyeza Play kutazama Show sehemu ya pili itawekwa Jumatatu kama kawaida endelea kutufuatilia kila wakati asanteni na tunawatakia siku njema.

Leave Comment