The Mboni Show msimu mpya 217 sehemu ya kwanza na Ben Kazora
Pata kuona show ya kwanza ya Msimu Mpya 2017 Kutoka Nchini Marekani. Upate kumsikia President wa Watanzania Waishio Dallas Texas Marekan Bwana Ben Kazora akizungumza kuhusu ile event ilitupeleka sisi @thembonishow kufanya coverage “Tanzania Day” na Pia kuhusu Diaspora.. KARIBU. Kumbuka Show huruka kila Ijumaa saa 1:00 jioni na marudio ni Jumatatu saa tano kali,