pix
All Posts, Featured,

The Mboni Show with DMK promoter wa kwanza kupeleka Mr. Nice Marekani!.

DMKGLOBAL Ni promoter Mtanzania aishie nchini Marekani na hata kazi zake huzifanyia huko huko Marekani . Pata kumsikiliza na kumtazama zaidi hapa kwenye The Mboni Show. Kumbuka Show huruka kila Ijumaa saa moja kamili TBC1 endelea kutufuatilia pia usisahau ku- subscribe na ku like Social media zetu. #thembonishow.

Leave Comment