lulu
All Posts, Featured, Shows, Video Clips,

Tazama The Mboni Show oline Lulu afunguka kuhusu Uchangudoa!

Karibu utazame The Mboni Show Online hapa tumekuwekea kipande cha kwanza cha show inayo husu “Uchangudoa” ambapo utakwenda kujifunza vitu vingi kutoka kwa wageni wetu walio shriki kikamilifu kuchangia hoja za mada hiyo, Beatrice – Mjasiliamali, Elizabeth Michael Lulu Mwigizaji, ¬†Xaveli – Dereva Tax na Husna bila kusahau Host wetu maarufu kama Mboni Masimba. Hiki ni kipande cha kwanza cha Show hii, kiapnde cha pili tutawawekea Jumatatu. Endelea kutufuatilia kwenye Social Media zetu mambo mazuri ya kuelimisha na kufurahisha yanapatikana hapa.

Leave Comment