attachment-11
All Posts, Featured, Video Clips,

Tazama Kipindi Cha The Mboni Show hapa – Ushirikina Part 2

Karibu kwenye mwendelezo wa kipindi chetu yaani The Mboni Show, katika mada kuu ambayo inahusiana na mambo ya Ushirikina, tulianza kutazama kipande cha kwanza Ijumaa iliyopita leo tunamalizia kipande cha pili cha Show. Kumbuka kila mmoja huwa na imanizake katika maisha. Hivyo Tazama Show hii kipande cha pili kawaida kwenye  Youtube Chanell yetu. Endelea kutufuatilia kwenye Social Media zetu coz tunakujali na kuku thamini Asante.

Leave Comment