fmboni-1
All Posts, Featured, Video Clips,

Tazama Kipindi cha The Mboni Show Hapa – Ushirikina Part 1

Katika maisha kila mwanadamu hutumia mbinu zake kuhakikisha kuwa maisha yake yana songa mbele kwa namna moja amanyingine. Lakini siku hii ya leo kwenye kipindi chetu The mboni Show tunazungumzia yaliyo mengi kuhusu namna watu wanvyo tumia ushirikina na kutaka kufanikisha maisha yao. Hivyo Tazama Show hii kipande cha kwazna kisha kipande cha pili tutakuwekea Jumatatu kama ilivyo kawaida kwenye  Youtube Chanell yetu. Endelea kutufuatilia kwenye Social Media zetu coz tunakujali na kuku thamini Asante.

Leave Comment