IMG-20160516-WA0005
All Posts, Featured, Video Clips,

Tambua Sifa za Mapedeshee kwenye Marudio ya ‘The Mboni Show’ hapa

Unaweza ukafurahi na kujifunza vitu vingi kupitia marudio ya kipindi cha The Mboni Show ambapo mada kuu inawahusu “Mapedeshee”. Katika show hii tumejitahidi kuwapata baadhi ya Mapedeshee pamoja na Audience ili kujadili mada hii kwa kina chini ya host wako Mboni Masimba.

Je unatamani kujua life style ya Mapedeshee? tafadhali tazama hii show kisha toa maoni yako kwa kile utakacho kiona.

Leave Comment