Unavyo ishi vizuri na watu jua kabisa umejiwekea akiba ya baadae, Omby Nyongole ni school mate wa Mboni Masimba tangu Shule ya Msingi (P rimary) urafiki wao umedumu toka enzi…