mapenzi
All Posts, Featured, Video Clips,

Tafakari, kwa nini Mapenzi hupungua nguvu kadri siku zinavyo zidi kusonga?

Karibu utazame kipindi kizuri maarufu kama The Mboni Show mada yetu kuu leo ni “Kwa nini Mapenzi hupungua nguvu kadri siku zinavyo zidi kusonga kwa wapendanao? Wageni wetu leo ni Mwana muziki Charles Baba, Jini Kabula na Jackline. Tunakwenda kuijadili mada hii, tukiwa pamoja na Audience. Lengo kuu ni kutaka kubain tatizo ili tuweze kupata suluhisho. The Mboni Show Tunaelimisha, Tunaburudisha na Kusaidia Jamii pia tunaihabarisha Jamii. Kama ndio kwanza unaanza kutufuatilia amini kuwa hauja chelewa hiki ni kipande cha kwanza cha Show hii kipande cha pili kita malizika Jumatatu hapa hapa kwenye youtube Chanell yetu usikose ushauri na maoni kutoka kwako mdau unahitajika. Asante.

Leave Comment