Stara Thomas
All Posts, Featured, NEWS, Photography, Shows,

TAARIFA MPYA KUHUSU STARA THOMAS KWENYE THE MBONI SHOW

“Habari za mchana wapendwa, Baada ya kutazama Marudio ya The Mboni Show with “Salma Jabu Nisha” TBC1 inayo furaha kubwa ya kuwataarifu kuwa Wiki hii The Mboni Talk Show itakuwa na Msanii wa Muziki mwanadada maarufu kwa jina la “‪#‎Stara‬ Thomas” ambaye unamuona kwenye picha hii, aliyewahi kushine kwenye wimbo wake wa “Nashindwa “, Hivyo ndugu jamaa, marafi pamoja na wadau wengine msikose kuitazama Show ya Wiki hii Ijumaa itaruka TBC1 kuanzia mida ya Saa nne Kamili usiku. Coz kuna vitu vingi ambavyo atavizungumza kuhusiana na sanaa yake pamoja na maisha yake ya kawaida. kwa kusema hayo naomba niwatakie jioni njema Byeeeee….! msikilize hapa >>>>>
https://www.youtube.com/watch?v=fLmp0wdwtuk

Leave Comment