wema
All Posts, Featured, NEWS, Shows, Video Clips,

SHOW: Wema Sepetu amsaidia kutunga wimbo Diamond Platnumz!

Kila kwenye Mafanikio ya mtu huwa lazima kunakuwa na historia yake na mapito ambayo kapitia. Leo Tunakurudisha nyumba kidogo Throwback The Mboni Show with Diamond Platnumz.

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva maarufu hapa ndani na nje ya Bongo Tz Diamond Platnumz, akiwa kwenye mahojiano katika kipindi kizuri kabisa Cha The Mboni Talk Show mnamo mwaka 2012 ndipo alipo funguka vitu vingi ikiwa ni pamoja na jinsi ambavyo Mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu alivyo kuwa akimsaidia kutunga nyimbo.

wema

Diamond Platnumz aliuweka ukweli huo kwenye mahojiano yake na The Mboni Show bila ya kupepesa Macho. Ukitazama Show hii utavijua vingi Asante itazame mpaka mwisho ila usisahau ku- subscribe ili upate fursa ya kutazama Video zetu zote Cheers.

Leave Comment