081f035ec9c9c6ec5f10790b9b00ba45_400x400
All Posts, Featured, Shows,

SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Sunday Shomari

Sunday Shomari ni Mtanzania mkongwe kwenye Tasnia ya Habari makazi yake kwa sasa ni Marekani. Elimu yake ya habari aliipata Tanzania School Of Journalism (TSJ) mnamo mwaka 1995 mpaka 1999 alikuwa mtangazaji wa ITV/Radio One. Mungu mwema kwa sasa Sunday Shomari ni Mtangazaji wa kimataifa na anafanya kazi Voice of America (VOA).

Baada ya Team ya The Mboni Show kufika Marekani Washington DC tulifanikiwa kufanya mahojiano na Mtanzania mwenzetu ili kujua zaidi Mapito ya maisha yake pamoja na ufanisi wake. Twende tukamtazame.

Leave Comment