22489839_1282501755189466_1336672056655737214_n
All Posts, Featured, NEWS,

SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Linda Bezuidenhout (Part 1)

Baada ya The Mboni Show kutinga nchini Marekani tulifanikiwa kukutana na Mtanzania tunaye mtambua ambaye anaishi nchini humo. Linda Bezuidenhout ni dada wa Kitanzania ambaye ni mbunifu wa mavazi yaani ni Fashion Designer wa mitindo ya nguo, shughuli zake anazifanyia Atlanta Georgia huko Marekani.

Linda ni Mama wa watoto wa nne na ni mke wa mtu, Pia ni Dada wa aliyekuwa mshindi wa Big Brother Africa Tanzania 2007 Richard Dyle Bezuidenhout. Kupitia  The Mboni Show utatambua shughuli zake zote  ikiwa ni pamoja na anazifanyaje shughuli hizo. Tazama Show hapa.

Leave Comment