18380429_212394432598448_6387562151015350272_n
All Posts, Featured,

SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Leyla Part 1

Princess Leyla Makongoro Bezuidenhout ni mtoto wa Linda Bezuidenhout ni mzaliwa wa hapa Tanzania lakini makazi yake ni Atlanta nchini Marekani. Anaendelea kujishughulisha na masuala ya Muziki na moja kati ya nyimbo zake ni┬ápamoja na ‘Umoja ni Nguvu”

The mboni Show tulipo fanikiwa kutua nchini humo tuliona si vyema kumuacha coz alikuwa na vitu vya kuzungumza kwa Watanzania tulifanya mahojiano na Leyla. Tazama Show part 1.

Leave Comment