IMG-20171019-WA0040
All Posts, Featured,

Saa moja kamili The Mboni Show itakuwa hewani TBC1

 

Hello Tanzania leo ndio leo ndani ya The Mboni Show tutakuwa na mbunifu wa mavazi kutoka hapa Tanzania, maarufu kama KHADIJA MWANAMBOKA, usikose kuitazama Show kuanzia saa moja kamili jioni TBC1.

Kama wewe ni mdau wa mitindo basi usikubali kupitwa na Show coz kuna vitu vingi utajifunza pia utajua baadhi ya changamoto wanazo pitia Wabunifu wa mitindo ya nguo hapa Tanzania.

IMG-20171019-WA0050

 

Leave Comment