The mboni show

The mboni show

The mboni show is a Tanzanian modern TV talk show with aim of educating, inspiring and…

mapedesheee
All Posts, Featured,

Video: Marudio ya The Mboni Show kuhusu Mapedeshee!

The Mboni Show inakuletea Marudio ya kipindi cha Mapedeshee, kama ilivyo kawaida unapo sikia neno Mapedeshee! Always ni watu wenye pesa zao. Kuna mambo kadhaa wa kadhaa na changamoto nyingi…

mboni-aa
All Posts, Featured, Video Clips,

Angalia The Mboni Show uweze kujifunza mengi kuhusu ‘kujichubua’

Karibu kwenye The Mboni Show uweze kutazama marudio ya vipindi mbalimbali vilivyo pita, leo tumekuwekea kipande cha pili cha show ambayo inazungumzia “Kujichubua!” unaweza kujifunza vituvingi kupitia Show hii kwani…

nyosh
All Posts, Featured, Video Clips,

Marudio, The Mboni Show ikizungumzia Mada ya Kujichubua (Tazama)

Kutokana na suala la baaadhi ya watu kutopenda asili ya ngozi zao na kujikita kwenye kujichubua ili kubadili muonekano wao, The Mboni Show Miaka kadhaa iliyo pita tulijitahidi kujadili jambo…

mboni-aa
All Posts, Featured, Shows, Video Clips,

Marudio ya The Mboni Show miaka kadhaa iliyo pita – Mada kuu Mapenzi (Part 2)

Ni kitambo sana tangu turekodi Show hii lakini Show bado ipo hai coz unaweza kuitazama leo na ukajifunza vitu vingi. Hivyo tumia fursa ya dakika 30 kumalizia kipande cha pili…

mapenzi
All Posts, Featured, Video Clips,

Tafakari, kwa nini Mapenzi hupungua nguvu kadri siku zinavyo zidi kusonga?

Karibu utazame kipindi kizuri maarufu kama The Mboni Show mada yetu kuu leo ni “Kwa nini Mapenzi hupungua nguvu kadri siku zinavyo zidi kusonga kwa wapendanao? Wageni wetu leo ni…

attachment-11
All Posts, Featured, Video Clips,

Tazama Kipindi Cha The Mboni Show hapa – Ushirikina Part 2

Karibu kwenye mwendelezo wa kipindi chetu yaani The Mboni Show, katika mada kuu ambayo inahusiana na mambo ya Ushirikina, tulianza kutazama kipande cha kwanza Ijumaa iliyopita leo tunamalizia kipande cha…

fmboni-1
All Posts, Featured, Video Clips,

Tazama Kipindi cha The Mboni Show Hapa – Ushirikina Part 1

Katika maisha kila mwanadamu hutumia mbinu zake kuhakikisha kuwa maisha yake yana songa mbele kwa namna moja amanyingine. Lakini siku hii ya leo kwenye kipindi chetu The mboni Show tunazungumzia…

2
All Posts, Featured, Mboni in Events, NEWS,

MBONI KUZUNGUMZIA KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE. 102.5 LAKE FM MWANZA

Mtangazaji wa Kipindi cha “The Mboni Show” kinachoruka kupitia runinga ya TBC1, Mboni Masimba (kushoto) akizungumza na Caroline Mwaipungu ambaye ni Mtangazaji wa 102.5 Lake Fm Mwanza kuhusu Kongamano la…

kkk
Featured, Video Clips,

Je! unaelewa nini unapo sikia neno “Uchangudoa?”

Je! unaelewa nini unapo sikia neno “Uchangudoa?” tuna tambua uchangudoa unamaana nyingi maana moja wapo ni kidendo cha Wadada kuuza mili yao kwa ajili ya pesa ama kitu fulani. Hivyo…

14642184_10210792886204871_6454047403266805373_n
All Posts, Featured, Mboni in Events,

GOOD NEWS: THE MBONI SHOW TUNAKULETEA SAUTI YA MWANAMKE!

MWANZA! MWANZA! KAAENI MKAO WA KULA. CHOCOLATE PRINCESS LTD – WAANDAAJI WA THE MBONI SHOW WANAKULETEA SAUTI YA MWANAMKE EVENT AMBAYO ITAANZA MKOANI MWANZA 06/11/2016 NDANI YA UKUMBI WA GOLD…