YY
All Posts,

Ni jambo gani ambalo unatamani The Mboni show ikufanyie?

Kila MTU ana ndoto Fulani katika Maisha yake.Je wewe ndoto yako ni nini? Ni kitu au jambo gani ambalo unatamani The Mboni show ingekufanyia? Labda ni kukupeleka kutembelea sehemu ambayo hujawahi kufika?Labda ni kukukutanisha na mtu maarufu umpendaye? Au Labda ni kukusaidia kumfanyia surprise mtu Fulani? Ndoto yako ni nini? Tuandikie kupitia :- info@thembonishow.com au tupigie simu au tutumie msg kwenye Whatsapp kupitia no ‭0762 656 666‬ ili upate nafasi ya kipekee ya kutimiza ndoto hiyo kupitia The Mboni Show.

Leave Comment