img-20170104-wa0071
All Posts, Mboni in Events, NEWS,

Mboni Masimba kwenye Mapumziko ya mwaka mpya Ngorongoro

Ilikuwa siku yenye furaha kwa Mkurugenzi wa The Mboni Show Mboni Masimba mara baada ya kupata mualiko maalum wa kwenda kutembelea “Ngorongoro Crater”  yalikuwa ni mapumziko mazuri kabisa ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya 2017. Baada ya mualiko huo mzuri hiki ndicho alicho kisema Mboni kwa uongozi wa Ngongongoro Crater.

“I would like to extend my gratitude to Ngorongoro Managment for sponoring my stay at the Crater. Spending my new year holiday at Ngorongoro Crater has been an amazing experience. My sincere thanks goes to managing director FREDY MANONGI Public Relation Officer VICENT MBIRIKA NICKSON NYANGE and our Driver DISMAS HARYA”  Tazama video hii hapa …… Happy New Year 2017.

img-20170104-wa0070  img-20170104-wa0069img-20170104-wa0067

Leave Comment