IMG-20160813-WA0024
All Posts, Featured, NEWS,

Mboni Masimba akiwa Ufaransa na Balozi wa DR.Congo

Mkurugenzi wa kipindi cha The Mboni Show maarufu kama Mboni Masimba ambaye ndiye mtangazaji wa kipindi hicho, siku chache zilizopita alipata mualiko wa kwenda kumtembelea Balozi wa DR.Congo huko nchini Ufaransa, Baada ya ziara hiyo Mboni alifanikiwa kufika  Kwenye Restaurant kubwa nchini humo marufu kama
“Effel Tower”

IMG-20160813-WA0025

Mboni Masimba akiwa na Balozi wa DR.Congo nchini Ufaransa

IMG-20160813-WA0027

Effel Tower

 

IMG-20160813-WA0028

 

Leave Comment