MBONI W
Fashions, Featured,

MBONI AWAKUMBUSHA MASHABIKI KUHUSU MARUDIO YA AMINA DESIGNER

Mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Talk Show maarufu kwa Jina la Mboni Masimba amewataka mashabiki, wadau na wapenzi wa kipindi hicho ambacho huruka kila Siku ya Ijumaa TBC1, kuangalia Marudio ya Show aliyofanya na Amina Desinger Ijumaa iliyopita. Hapa anafafanua zaidi. “Ndugu zangu, wapendwa wangu,napenda sana kuwa kumbusha kuwa leo Juma Tano ndio maruodio ya ‘The mboni Talk Show‘ na Amina Designer TBC1. Inawezekana ukawa Ijumaa haukufanikiwa kuangalia Kipindi kwa namna moja amanyingine, basi leo muda ni kuanzia saa tisa mchana mpaka saa kumi, karibuni sana maoni yenu nimuhimu sana kwenye ufanisi wa The ‘Mboni Talk Show”

Leave Comment