mboni-aa
All Posts, Featured, Shows, Video Clips,

Marudio ya The Mboni Show miaka kadhaa iliyo pita – Mada kuu Mapenzi (Part 2)

Ni kitambo sana tangu turekodi Show hii lakini Show bado ipo hai coz unaweza kuitazama leo na ukajifunza vitu vingi. Hivyo tumia fursa ya dakika 30 kumalizia kipande cha pili cha Show inayo zungumzia Mapenzi, kisha unaweza kutoa maoni yako kutokana na kile ambacho utakwenda kukitazma humu. Naamini kuwa huwezi kukosa cha kuzungumza mada ya Mapenzi ni kubwa sana kama unavyo jua mapenzi yameiteka Dunia. Mwisho nikushukuru wewe unae endelea kunifuatilia toka mwanzo wa Show zangu zote hadi hii leo kwani bila wewe hakuna The Mboni Show nakutakia siku njema na utazamaji mwema wa Show hii online Byeeee!.

Leave Comment