nyosh
All Posts, Featured, Video Clips,

Marudio, The Mboni Show ikizungumzia Mada ya Kujichubua (Tazama)

Kutokana na suala la baaadhi ya watu kutopenda asili ya ngozi zao na kujikita kwenye kujichubua ili kubadili muonekano wao, The Mboni Show Miaka kadhaa iliyo pita tulijitahidi kujadili jambo hili ili kupata ufumbuzi na kutambua Chanzo ninini. Tulifanya Show ambayo iliwakutanisha wadau na Audience walio hudhuria Show hiyo live. Leo The mboni Show imekuletea online Marudio ya kipindi kizuri kilicho bebwa na mada kuu inayohusu Kujichubua, Tazama Show hapa kisha tupe maoni yako.

Leave Comment