image
DREAM COME TRUE, Featured, Kero, Mboni in Events,

LEO KATIKA THE MBONI SHOW TULIKUWA NA RASHID SALEHE (KATIBU WA UMOJA WA MADEREVA TANZANIA) NA SHABAN MDEMU (MAKAMU MWENYEKITI WA UMOJA WA MADEREVA TANZANIA)

The mboni show is a Tanzanian modern TV talk show with aim of educating, inspiring and helping Tanzanian society.

Comments (2)

  1. PAUL
    Jun 24, 2015 at 12:49 pm

    wana haki ya kugoma lakini walibugi maliotugomea ni (sisi ndg zao)abiria ambao ni matajir wao tunaobadilishana fedha na usafiri,hawakuwagomea matajiri wao wamiliki wa mabasi, hao wamiliki wa mabas walitumia usafiri wao binafsi na magari ya serikali,mi nawasihi siku mkigoma msigome wote baadhi yenu waendelee kufanyakazi au gomeni wote na mhakikishe hakuna gari la lolote liwe la mtu binafsi au serikali kutembea au kwenda kazini,pia naomba mtandao wao chama cha madereva

  2. Amina
    Jun 24, 2015 at 1:12 pm

    Hongera sana Rashid; Umejitahid kutetea maslahi ya madereva wote nchini. Ni ukweli wanadhalaurika na hawatambuliki. Simama wahusika wawajibike tupo pamoja na wewe.

Leave Comment