Amina designer
Fashions, Featured,

KUTANA NA AMINA DESIGNER KWENYE THE MBONI TALK SHOW IJUMAA HII

Usikose kutazama kipindi cha ‘The Mboni Talk Show’ Ijumaa ya wiki hii ndani ya TBC1 kwaanzia mida ya Saa 3: 00 usiku hadi Saa 4:00 usiku, kama ilivyo kawaida utakuwa na host wako makini maarufu kwa jina la Mboni Masimba. ‘The Mboni Talk Show’ itakuwa na Amina Designer nini atazungumza usikose kuangalia Show Ijuma hii TBC1, Marudio ni kila Jumatano saa tatu kamili usiku. kwa taarifa zaidi tufuatilie kwenye tovuti yetu ya www.thembonishow.com.Amina 2  Mboni & Amina mboni 3

Leave Comment