Mboni na KiPPI
Featured, Mboni in Events,

KIPPI WARIOBA NDANI YA ‘THE MBONI TALK SHOW’ IJUMAA HII

 

Ijumaa ya wiki hii tutakuwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Kippi Warioba ndani ya The Mboni Talk Show, TBC1 kuanzia mida ya saa tatu kamili usiku mpaka saa 4, kwa wote mashabiki  mnaopenda kuangalia ‘The Mboni Talk show’ basi kaeni mkao wakula coz kuna vitu vingi utakwenda kuvifahamu kutoka kwa Kippi Warioba.

Kumbuka marudio ya kipindi hiki huruka kila siku ya Juma tano kuanzia mida ya saa tisa kamili mpaka saa kumi jioni usikose!.

 

 

Leave Comment