IMG-20160602-WA0045
All Posts, Featured, Mboni in Events,

KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 4 YA THE MBONI SHOW HANDENI

Ni muda sasa tangu kipindi cha The Mboni Talk Show kianze kuruka hewani na kuleta mafanikio chanya kwenye jamii, kwa kuelimisha, kuburudisha na kusaidia jamii. Hivyo nikiwa kama Mkurugenzi wa Show hiyo maarufu hapa tanzania kwa jina la Mboni Ally Masimba, Mwishoni mwa mwezi uliyopita tumeazimisha miaka minne ya The Mboni Show kama ilivyo ada Tulienda Tanga ambako nilizaliwa kwa ajili ya kufanya Giving Back to the Community.

Hii ni kawaida ya The Mboni Show coz mwaka wa Kwanza ilikuwa 2013 tufanya Amana Hospital, Mwaka wa pili 2014 Chalula Primary School Dodoma tulitoa msaada wa Madawati Mwaka wa Tatu 2015 Muhimbili Hospital tulitoa Maternity Ward 39 na mwaka wa nne ambao ndio huu 2016 Tumefanya Handeni. Tunashukuru Mungu na wadau wetu wote wanao shirikiana nasi kikamilifu Mungu awabariki sana.

IMG-20160602-WA0045 IMG-20160602-WA0046 IMG-20160602-WA0047 IMG-20160602-WA0048 IMG-20160602-WA0049 IMG-20160602-WA0050 IMG-20160602-WA0051 IMG-20160602-WA0052 IMG-20160602-WA0053 IMG-20160602-WA0054

Leave Comment