kkk
Featured, Video Clips,

Je! unaelewa nini unapo sikia neno “Uchangudoa?”

Je! unaelewa nini unapo sikia neno “Uchangudoa?” tuna tambua uchangudoa unamaana nyingi maana moja wapo ni kidendo cha Wadada kuuza mili yao kwa ajili ya pesa ama kitu fulani. Hivyo basi kupitia The Mboni Show leo online katika kipande chetu cha pili bado tunaendelea kuichambua mada hiyo kwa kina tukiwa na wageni wetu ambao baadhi yao wana Experience kuwa.┬áTazama Show hapa kisha ushauri na maoni vinaruhusiwa Cheers baada ya Show hii tukutane tena Ijumaa kwa Show Mpya endelea kuwa nasi coz tunamengi ya kushiriki nawewe asanteni tunawatakia siku njema.

Leave Comment