IMG-20160421-WA0009
Featured, NEWS, Shows,

JE TUTA ZUNGUMZA VIPI WAKATI ANETH HASIKII, DON’T MISS THE MBONI SHOW!

Kuna msemo ambao unasema hujafa hujaumbika, msemo huu huwa unamaana kubwa yaani hutakiwi kumcheka mlemavu wakati bado upo hai, coz hujui mbele yako Mungu akusaidie sana Aneth.

Don’t Miss The Mboni Show leo TBC1 na mwanadada Shupavu Aneth mwenye tatizo la kutosikia na kuongea ( Kiziwi) muda ni saa tatu kamili usiku hadi nne kamili. I hope utajifunza, utafurahi pia utajua habari za maisha yake kwa undani zaidi.

Kumbuka marudio ya The Mboni Show huruka kila Jumatano saa tisa kamili mchana hadi saa kumi kamili. Endelea kutufuatilia kila wakati Facebook Page, Twitter, Instagram, Youtube Chanell unatupata kwa (The Mboni Show).

Leave Comment