IMG-20160516-WA0000
All Posts, Featured, Gallery, Mboni in Events, MBONI NA FANS, Photography,

HAPPY BIRTHDAY MBONI MASIMBA (THE MBONI SHOW)

Kwa heshima na taadhima leo 16/5/2016 The Mboni Show team tunamtakia Maisha marefu mkurugenzi wa The Mboni Show maarufu kama “Mboni Masimba” kwa kuiona siku yake ya kuzaliwa Mungu aendelee kumpa uhai na ufanisi katika Shughuli zake zote. Tunaamini kuwa Mboni Masimba ni tunda linalo tazamwa na Watanzania wote.

IMG-20160516-WA0001 IMG-20160516-WA0002 IMG-20160516-WA0003 IMG-20160516-WA0004 IMG-20160516-WA0005 IMG-20160516-WA0006 IMG-20160516-WA0007

Leave Comment