14642184_10210792886204871_6454047403266805373_n
All Posts, Featured, Mboni in Events,

GOOD NEWS: THE MBONI SHOW TUNAKULETEA SAUTI YA MWANAMKE!

MWANZA! MWANZA! KAAENI MKAO WA KULA. CHOCOLATE PRINCESS LTD – WAANDAAJI WA THE MBONI SHOW WANAKULETEA SAUTI YA MWANAMKE EVENT AMBAYO ITAANZA MKOANI MWANZA 06/11/2016 NDANI YA UKUMBI WA GOLD CREST HOTEL KWA KIINGILIO CHA SH 40,000 TU NA UTAPATA CHAKULA NA VINJWAJI. NJOO UPATE KUSIKIA SIRI YA MAFANIKO KUTOKA KWA SHEKHA NASSER WA SHEARELLUSION @shekhamanjano ,ENGINEER MAIDA WAZIRI KUTOKA VOWET NA Bi UBWA IBRAHIM KUTOKA NAMAINGO BUSINESS AGENCY, BILA KUSAHAU TUTAPATA NA MAFUNZO KIDOGO KUTOKA KWA MKONGWE BI CHAU AKIAMBATANA NA BI FATMA.. HUKU TUKIBURUDISHWA NA @ishamashauzii MWENYE MASHAUZI YAKE, NA PIA ZARRY EDOSHA @zarryedosha MKALI WA MWANZA NAE ATAKUWEPO KUTUPA BURUDANI.. NA TUTAVUNJWA MBAVU NA MREMBO KUTOKA KARATU @katarina_karatu UNAANZAJE SASA KUKOSA HII EVENT?? BASI KWA PAMOJA TUNASEMA “SAUTI YA MWANAMKE NI SAUTI YA JAMII IPE NAFASI KWA MAENDELEO” @katarina_karatu @shekhamanjano @missmandoza @8020fashions @zarryedosha @rhodalaflor @chaggymasimba @munalove100 @wemasepetu @wolperstylish @millardayo @mcpilipili @geahhabib @zamaradimketema @idrissultan @ommydimpoz @kaykivila @johangasa4 @mczipompa

Leave Comment