Ijumaa Mkuu wa Wilaya
All Posts, Featured, NEWS, Shows,

DON’T MISS ‘THE MBONI SHOW’ WITH MKUU WA WILAYA YA KINONDONI!

Kama ilivyo kawaida tunaendelea kukuletea raha na mambo mazuri kutoka The Mboni Talk Show kipindi ambacho huruka hewani kila Ijumaa pale TBC1 kuanzia mida ya saa Tatu kamili usiku hadi saa nne kamili. Hivyo basi Ijumaa ya wiki hii yani Kesho tarehe 19/8/2016, The Mboni Show Tutakuwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ‘Ali Hapi’ ambaye atazungumza yaliyo mengi kuhusiana na harakati za kukuza uchumi kwa namna moja ama nyingine.

Ukiwa kama shabiki wetu usikose kutazama Show kesho tunaamini uta-enjoy sana na huenda ikachochea ufanisi wa mipango yako ya kimaendeleo. Kumbuka Marudio ya kipindi hiki huruka kila Jumatano saa tisa mchana hadi saa kumi jioni kwa taarifa zetu zaidi unaweza kutufuatilia kwenye Social Media zetu like Website, Instagram,Twitter,Youtube Chanell and Facebook Page search >>”The Mboni Show”.

audience

The Mboni Show Audience

mboni Pekee

Mboni Masimba Host

Leave Comment