Category: Shows

BURN
All Posts, CodeCanyon, Featured, Shows,

USIKOSE KUANGAlIATHE MBONI SHOW LEO IS ABOUT SICKLE CELL

Usikose Kuangalia The Mboni Show leo tutakuwa na Dr Deogratius Soka kutoka Muhimbili University pamoja na mgonjwa wa Sickle cell jina lake ni “Arafa Saidi” tutazungumzia kuhusu ugongwa huo, usikubali…

IMG-20160421-WA0009
Featured, NEWS, Shows,

JE TUTA ZUNGUMZA VIPI WAKATI ANETH HASIKII, DON’T MISS THE MBONI SHOW!

Kuna msemo ambao unasema hujafa hujaumbika, msemo huu huwa unamaana kubwa yaani hutakiwi kumcheka mlemavu wakati bado upo hai, coz hujui mbele yako Mungu akusaidie sana Aneth. Don’t Miss The…

IMG-20160414-WA0040
All Posts, Photography, Shows,

USIKOSE THE MBONI SHOW YA LEO TBC1 3:00 – 4:00 USIKU

Kama unavyo tambua “The Mboni Talk Show” ni moja kati ya Show ambazo zinafanya vizuri hapa nchini Tanzania, Maudhui yake ni Kuelimisha, Kuburudisha, Kuhabarisha Ku-Inspire, na Kuisaidia Jamii ya Kitanzania kwa…

new Ifa Band
All Posts, Featured, Shows,

The Mboni Show with “IFa Band” Tunateleza kiulaini TBC1

Uwezo wa Mungu ni wa ajabu sana coz hapa mbeleenu nipo na Jafari kutoka “Ifa Band” hao nyuma yangu katika picha. Jafari ni mwana Ifa Band mwenye Matatizo ya kuto…

The Mboni with Wabogoja 2
All Posts, Featured, Shows,

UNAANZIA WAPI KUIKOSA THE MBONI SHOW WITH WABOGOJO?

Kila binadamu hapa Duniani Mungu alimjalia kuwa na kipaji kinachoweza kuyasogeza maisha yake mbele isipokuwa kile kitendo cha yeye kutambua kipaji chake, hilo ndio tatizo ambalo lina tusumbua wengi coz…

The Mboni Show Mpoki
All Posts, Featured, Shows,

USIKOSE KUANGALIA THE MBONI SHOW WITH MPOKI KESHO IJUMAA

Mpoki ni mmoja kati wasanii wa vichekesho  ambaye hufanya vizuri kwenye “Ze Comedy Show ” hapa nchini Tanzania msanii huyo mwenye kipaji cha kipekee aliye na umaarufu wa kutosha ambaye…

Stara Thomas
All Posts, Featured, NEWS, Photography, Shows,

TAARIFA MPYA KUHUSU STARA THOMAS KWENYE THE MBONI SHOW

“Habari za mchana wapendwa, Baada ya kutazama Marudio ya The Mboni Show with “Salma Jabu Nisha” TBC1 inayo furaha kubwa ya kuwataarifu kuwa Wiki hii The Mboni Talk Show itakuwa…

NISHA 6
All Posts, NEWS, Shows,

USIKOSE KUITAZAMA THE MBONI TALK SHOW WITH “NISHA” LEO TBC1

Ndugu wadau wa The mboni Talk Show wapenzi wa vichekesho mnao mkubali Mwigizaji ambaye anakubalika Bongo kwenye Tasnia hiyo ya “Bongo Muvi”  Salma Jabu Nisha anaye fanya vizuri na kazi yake ya Kiboko…

Moses & Chiba
All Posts, Featured, Shows,

MOSES IYOBO & CHIBA KWENYE THE MBONI SHOW 5/2/2016

Miongoni kati ya Madacer wazuri kwenye muzkiki wa kizazi kipya yaani Bongo Fleva ambao wanafanya vizuri na kukubaliba ni pamoja na Moses Iyobo ambaye ni Dancer wa Diamond Platnumz pamoja…

Anna 2
All Posts, Featured, Shows,

Anna Mghwira live in The Mboni Talk Show! Ijumaa

Mwana saiasa mkongwe ambaye alianza siasa tangu wakati wa Tanu akiwa mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Tanu (Tanu Youth League) na aliwahi kushinda tuzo mbalimbali kutokana na ushiriki wake…