Category: NEWS

dida 2
All Posts, Featured, NEWS,

USIKOSE THE MBONI SHOW WITH DIDA KESHO IJUMAA

Habari njema kutoka The Mboni Show” tukiwa tunaelekea siku ya wapendanao (Valentine Day) The Mboni Talk Show inakuletea Show kali, Ijumaa hii ya tarehe 12,/2/2016 siku hiyo tutakuwa Dida Shaibu mtangazaji…

king 6
All Posts, Featured, MBONI NA FANS, NEWS,

King Majuto kuvunja mbavu za wapenzi wa “The Mboni Show” Ijumaa

Mwigizaji nguli wa vichekesho hapa nchini maarufu kama King Majuto aliyetamba na Brothers,Usijaribu, Pedeshee, Gereji nk. Ijumaa ya wiki hii atakuwa ndani ya “The Mboni Talk Show” kwa ajili ya kuwavunja mbavu mashabiki wa…

12509009_925172730871104_6267242250498573772_n
Featured, NEWS, Shows,

THE MBONI SHOW WITH MWIGIZAJI WA BONGO MUVI (“BOND”)

The Mboni Talk Show tukiwa na siku 15 tu tangu tuuanze mwaka 2016, kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu natumaini mko poa, napenda kuwa taarifu wadau wote wa The Mboni Show…

msiba
All Posts, Featured, NEWS,

ALICHO KISEMA MBONI MASIMBA KUHUSIANA NA MSIMBA WA RASHID SALEHE

Baada ya Mkurugenzi wa The Mboni Talk Show kupata taarifa ya msimba  wa katibu wa chama cha Madereva Tanzania ambaye pia ni Msemaji wa chama hicho ndugu Rashid Salehe, hiki ndicho…

flavian matata
DREAM COME TRUE, MBONI NA FANS, NEWS,

USIKOSE KUANGALIA THE MBONI TALK SHOW WITH FLAVIANA MATATA

Hii ni taarifa njema inayowahusu wadau na mashabiki wote wanaopenda kuangalia ‘The Mboni Talk Show’ kuwa Ijumaa ya wiki hii kuanzia mida ya Saa tatu kamili, usiku ndani ya TBC1,…

BONY 2
Featured, NEWS,

NYOTA 2 KUTOKA NJE NDANI YA THE MBONI TALK SHOW (IJUMAA HII)

Ndugu mtazamaji wa kipindi maridadi cha ‘The Mboni Talk Show’ hii ni habari njema kutoka kwa super presenter wa kipindi hicho maarufu kwa jina la Mboni Masimba, “Ijumaa ya wiki…

MBONI
Featured, NEWS,

JIUNGE KUSHIRIKI KWENYE ‘THE MBONI TALK SHOW’

The Mboni Show ni kipindi ambacho huruka kila siku ya Ijumaa Saa 3: 00 hadi Saa 4:00 usiku TBC1 na marudio yake hufanyika kila siku ya Jumatano kama ilivyo kawaida…

333 b
Featured, NEWS, Photography,

USIKOSE KUANGALIA KIPINDI CHA THE MBONI SHOW LEO SEPTEMBER 4, 2015

Usikose kutazama kipindi cha ‘The mboni Show’ leo September 4, 2015 ndani ya TBC1 kwaanzia mida ya Saa 3: 00 usiku hadi Saa 4:00 usiku, kama ilivyo kawaida utakuwa sambamba…

DSC_0404
All Posts, DREAM COME TRUE, Gallery, Mboni in Events, NEWS,

THE MBONI SHOW WIKI HII NI PALE MKOA NI DODOMA

 Wiki hii utaiona Familia nzima ya The Mboni Show wakiwa mkoani Dodoma , Walipotembelea Shule ya msingi Chalula iliyoko wilaya ya Chamwino ; Shule ambayo bado wanafunzi wanakaa chini. The…

photo-1-
All Posts, Gallery, NEWS,

PUMZIKA KWA AMANI BI KIDUDE

Familia nzima ya THE MBONI SHOW inamtakia Mapumziko ya amani Bi Kidude. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin